Nyoka ni kivutio cha aina yake kwenye ngoma za kabila la Wasukuma. Kituo cha uhifadhi utamaduni wa kabila la Wasukuma cha Bujora, Mkoa wa Mwanza kaskazini magharibi mwa Tanzania kina jumla ya chatu ...