All
Web Mode
AI Mode
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
DSA in Python
Full-Course Free
DSA in
Python
Data Structure Full-Course
DSA with
Python
Learn DSA Full in Python Tamil Video
Algorithm
Python
Python
DSA
DSA Using Python
Language for Iot Branch
DSA Full-Course
DSA with Algo
Queues in
Python Playlist
Data Structure Full Course in Telugu
Python
with Data Structure
Data in
Python
DSA Using
Python
Campus Ex
Python Playlist
DSA Concepts in
Python
Aho-Corasick Tree
Niema Moshiri YouTube
Aho-Corasick Pronouciation
DSA Python
with Mosh
Python
Data Structures
Aho-Corasick
DSA in Python
with Nitesh
Data Structures in
Python
Python
Data Structures and Algorithms
Data Structures and Algorithms in
Python
Algorithms and Data Structures
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
DSA in Python
Full-Course Free
DSA in
Python
Data Structure Full-Course
DSA with
Python
Learn DSA Full in Python Tamil Video
Algorithm
Python
Python
DSA
DSA Using Python
Language for Iot Branch
DSA Full-Course
DSA with Algo
Queues in
Python Playlist
Data Structure Full Course in Telugu
Python
with Data Structure
Data in
Python
DSA Using
Python
Campus Ex
Python Playlist
DSA Concepts in
Python
Aho-Corasick Tree
Niema Moshiri YouTube
Aho-Corasick Pronouciation
DSA Python
with Mosh
Python
Data Structures
Aho-Corasick
DSA in Python
with Nitesh
Data Structures in
Python
Python
Data Structures and Algorithms
Data Structures and Algorithms in
Python
Algorithms and Data Structures
0:48
#Video Shirika la Reli Tanzania (TRC) kesho Juni 14,2024 linatarajia kuanza safari ya kwanza ya treni ya umeme kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro. #NipasheMwangaWaJamii #NipasheDigital | Nipashe
130.6K views
Jun 13, 2024
Facebook
Nipashe
0:15
#Video Vurugu zimetokea kwenye mkutano wa CHADEMA eneo la Igunga,mkoani Tabora. | Nipashe
681.8K views
Jun 10, 2025
Facebook
Nipashe
2:01
Kusoma Habari hii zaidi tembelea epaper.ippmedia.com AU www.ippmedia.com #NipasheMwangaWaJamii #NipasheDigital | Nipashe
58.1K views
Apr 10, 2025
Facebook
Nipashe
0:27
Madereva wa Bajaji, wanazingatia sheria za usalama barabarani? | Nipashe
40.4K views
Aug 16, 2024
Facebook
Nipashe
0:50
Chaos at the airport: The latest political update from Nipashe #kenyanews #trending #citizentv
685 views
2 months ago
YouTube
CITIZENS ALERT
1:20
Mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa ukitoka Uwanja wa Ndege Kia Mkoa Kilimanjaro kuelekea nyumbani kwake Monduli mkoani Arusha. | Nipashe
Feb 15, 2024
Facebook
Nipashe
0:22
Ajali ya Kariakoo part 5 | Nipashe
513 views
Nov 19, 2024
Facebook
Nipashe
2:01
“Ndugu wananchi, mwaka wa 61 wa Muungano wetu umeangukia kwenye mwaka tunaokabiliwa na jambo kubwa la kidemokrasia nchini. Tutafanya uchaguzi wa kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na madiwani,” Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. #HotubaYaRaisSamia #NipasheDigital | Nipashe
283 views
Apr 25, 2025
Facebook
Nipashe
0:18
#RaisSamiaNaWazee Rais Dk Samia Suluhu Hassan amesema licha yaliyotokea, atasimama kuilinda Tanzania kwa nguvu zote.https://www.ippmedia.com/nipashe/habari/kitaifa/read/samia-turidhiane-kwanza-kisha-katiba-mpya-2025-12-02-161712 | Nipashe
162.5K views
11 months ago
Facebook
Nipashe
0:34
Utani wa Mpoki kuhusu kabila la #Wahaya 'wamvunja mbavu' Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete kwa kicheko. 😂😂😂 🎥: Mpoki Mjuni | Nipashe
11.5K views
Oct 31, 2019
Facebook
Nipashe
0:35
Watuhumiwa wawili, Amasha Iddi Mrisho (40), mkazi wa Buza jijini Dar es Salaam, na Seleman Juma Ally (32), raia wa Msumbiji, Januari 22, 2026, wamefikishwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke kujibu tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya skanka.https://www.ippmedia.com/nipashe/habari/kitaifa/read/watuhumiwa-kilo-20-za-skanka-wafikishwa-mahakamani-2026-01-23-103015 | Nipashe
4K views
10 months ago
Facebook
Nipashe
0:43
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) na wadau wote wanaohusika wakae na kutengeneza utaratibu wa mpito ili kurejesha huduma za usafiri huo ndani ya siku 10.https://www.ippmedia.com/nipashe/habari/kitaifa/read/serikali-yataka-mwendokasi-irudi-ndani-ya-siku-10-2025-11-24-174634 | Nipashe
1.3K views
1 year ago
Facebook
Nipashe
1:05
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, inaendelea leo Jumatatu, Februari 16, 2026 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Shauri hilo linasikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, huku shahidi wa saba akitarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake kuanzia saa tatu kamili asubuhi.https://www.ippmedia.com/nipashe/habari/kitaifa/read/kesi-uhaini-lissu-yaendelea-leo-2026-02-16-091818 | Nipashe
805 views
9 months ago
Facebook
Nipashe
1:00
Isac Kamaja maarufu Legazo anatuhumiwa kumuua mke wake Rebeka na kumfukia kwenye shimo la choo lililokuwa limejaa nyumbani kwao, mtaa wa Nyerere, Mpunguzi, Dodoma. Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyerere, Hamis Zakayo amethibitisha tukio hilo usiku wa kuamkia Jumapili, Juni 29, 2025 baada ya wawili hao kudaiwa kugombana kufuatia wivu wa mapenzi baada ya kumfumania na mwanaume mwingine. Imeandikwa na Augusta Njoji, DODOMA #NipasheMwangaWaJamii #nipashedigital #miaka30yakupashahabari | Nipashe
113.9K views
Jul 2, 2025
Facebook
Nipashe
3:22
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Samuel Malecela, amekemea vikali tabia ya kuwatukana Viongozi wa Dini, akieleza kuwa ni kitendo cha kukosa adabu, maadili na ustaarabu ambacho hakipaswi kuvumiliwa katika jamii.https://www.ippmedia.com/nipashe/habari/kitaifa/read/malecela-akemea-ccm-kutukana-viongozi-dini-2026-02-03-102154 | Nipashe
25.3K views
9 months ago
Facebook
Nipashe
4:32
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ametoa maagizo kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mkama Bwire, kuhakikisha huduma ya maji inapelekwa kwa wakazi wa Msakuzi, katika shina namba tano na saba, ndani ya siku 30.https://www.ippmedia.com/nipashe/habari/kitaifa/read/aweso-atoa-siku-30-dawasa-kufikisha-maji-msakuzi-2025-11-29-083815 | Nipashe
6.8K views
11 months ago
Facebook
Nipashe
0:47
"Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote Heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka Desemba 9, aidha Serikali inawashauri wananchi ambao Desemba 9, 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia siku hiyo kwa mapumziko,"- Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba Tembelea http://epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 📞 255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi. #NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari | Nip
5K views
11 months ago
Facebook
Nipashe
1:31
Kesi hiyo ya jinai, ambayo mara ya mwisho iliahirishwa Novemba 12, 2025, imepangwa kusikilizwa mfululizo kuanzia Februari 9, 2026, hadi Machi 6, 2026. Lissu anashitakiwa kwa kosa la uhaini chini ya kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu kwa kudaiwa kutoa kauli zinazohamasisha uasi na kuzuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Awali ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi hiyo leo, Lissu aliibua hoja tatu zinazohusu uendeshaji wa kesi, ikiwemo ukosefu wa haki zake za msingi tangu ke
2.8K views
9 months ago
Facebook
Nipashe
2:30
Vijana nchini wameaswa kuacha kukurupuka kufanya maandamano wakidai haki bali watambue kuwa haki inapatikana kwa maridhiano na meza ya mazungumzo na kwamba vurugu huweza kuifanya nchi kuondolewa kwenye orodha ya kuwa kisiwa cha kimataifa cha amani. Mwenyekiti wa Shirikisho la Wazee Kukuza Mila na Desturi mkoa wa Morogoro ( SHIWAMILA) Ramadhani Divunyagale amesema hayo leo wakati akiongea na wanahabari juu ya kudumisha amani ya nchi ambapo amesema hata nchi ilipokosa uhuru Mwalimu Nyerere na wali
1.7K views
11 months ago
Facebook
Nipashe
1:29
Mkuu wa dawati la watetezi wenye ulemavu kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Emmanuel Majeshi amesema ripoti ya utafiti wa mahitaji wa mwaka 2023 wamebaini vyama na taasisi za wenye ulemavu kukabiliwa na changamoto zinazodhoofisha ufanisi ikiwemo ukosefu wa uwazi wa majukumu na mgawanyo wa kazi.https://www.ippmedia.com/nipashe/habari/kitaifa/read/ripoti-ya-utafiti-2023-yabaini-changamoto-ufanisi-kwa-wenye-ulemavu-2025-12-02-173627 | Nipashe
936 views
11 months ago
Facebook
Nipashe
4:55
“Mungu ametupa nchi nzuri tuilinde, kila mmpja anawajibu wa kuilinda, Tanzania sio mali ya serikali wala vyama vya siasa, shughuli zote tunazozifanya tunafanya kwasababu nchi ipo,” amesema Waziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, leo Dar es Salaam wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari. Tembelea http://epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 255 745-700 710 au 0677-020 701 kwa maelezo zaidi. #NipasheMwangaWaJamii #nipashedigital #miaka30yakupashahabari | Nipashe
481 views
11 months ago
Facebook
Nipashe
0:21
Ni maajabu ya Musa. "Ndivyo inavyoweza kuelezwa, baada ya moto mkubwa, ambao haujajulikana chanzo chake kuzuka katika Hifadhi ya Mazingira Asili ya Mlima Hanang' ulioko mkoani Manyara."://www.ippmedia.com/nipashe-jumapili/habari-nipashe-jumapili/kitaifa-nipashe-jumapili/read/tukio-moto-mlima-hanang-waibua-kumbukizi-za-maafa-ya-maporomoko-2025-12-07-090811 | Nipashe
32.7K views
11 months ago
Facebook
Nipashe
1:31
Wabunge kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameiomba serikali kuchukua hatua dhidi ya mwekezaji anayetuhumiwa kubomoa bila kibali majengo ya serikali katika kitongoji cha Katoro Center kilichopo mji mdogo wa Katoro. Wabunge hao ambao ni Joseph Musukuma wa Jimbo la Geita pamoja na Mhandisi Kija Ntemi wa jimbo la Katoro wamewasilisha malalamiko yao baada ya kamati ya Uchumi na Fedha ya halmashauri kutembelea eneo hilo. VIDEO: MARCO MADUHU #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari #nipashedi
20.4K views
9 months ago
Facebook
Nipashe
0:32
Msafara wa magari ya kutuliza vurugu ya Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, ukitokea Kisesa wilayani Magu kuelekea katikati ya Jiji la Mwanza kwaajili ya kusambaa katika maeneo mbalimbali kuimarisha ulinzi wakati upigaji kura ukiendelea. Tembelea http://epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 255 745-700 710 au 0677-020 701 kwa maelezo zaidi. #NipasheMwangaWaJamii #nipashedigital #miaka30yakupashahabari | Nipashe
13.8K views
Oct 29, 2025
Facebook
Nipashe
0:22
#RaisSamiaNaWazee Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni nchi huru haitakubali kupangiwa namna ya kufanya mambo yake na mataifa mengine kwa kisingizio cha misaada au kitu kingine chochote kile, badala yake itaamua mambo yake kadiri ya mahitaji ya watu wake. Akiongea na wazee wa Dar es Salaam, Desemba 02, 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Rais Samia alisema baadhi ya mataifa wamekuwa wakiunga mkono madai yasiyokuwa na msingi ya baadahi ya vyama vya siasa kwa malengo ya kuivur
426K views
11 months ago
Facebook
Nipashe
2:58
Ajira Mpya 33,212 Zatolewa na Rais Samia Suluhu
175.7K views
Apr 23, 2025
TikTok
nipashedigital
1:11
#VIDEO RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Papa Francis mara baada ya kuwasili Vatican, nchini Italia jana walipokutana na kujadili mambo mbalimbali ukiwemo uhusiano wa kidiplomasia. Aidha Rais Samia amemkabidhi Papa zawadi mbalimbali kutoka Tanzania ikiwemo ya sanaa iliyotengenezwa Zanzibar ikiwa na milango ambayo Rais Samia ameifungua kama ishara ya kuonesha jinsi Sultan alivyofungua milango na kuruhusu Ukristo kuingia Afrika Mashariki kupitia Zanzib
Feb 13, 2024
Facebook
Nipashe
6:19
#Video | Nipashe
17.3K views
Jun 22, 2025
Facebook
Nipashe
3:57
#Video | Nipashe
105.7K views
Jun 15, 2025
Facebook
Nipashe
See more
More like this
Feedback